Home

Friday, October 19, 2012

Semina maalumu kwa ajili ya Mabinti jijini Mwanza



Pastor Zakayo Nzogele wa kanisa la Mwanza International Christian Centre(MICC), kulia  ni Pastor Goodluck Kyara wa kanisa la New Vine International Ministry(NVIM)


Kanisa la New Vine International Ministry lililoko Nyegezi Tema jijini Mwanza limeandaa semina maalumu kwa ajili ya mabinti.Semina hiyo iliyopewa jina la LADIES WITH DESTINY itafanyika katika kanisa hilo lililopo Nyegezi katika ukumbi wa Tema siku ya jumapili ya tarehe 28/10/2012 kuanzia saa tisa mchana mpaka saa moja usiku.

Wanenaji katika jioni hiyo maalumu ni pamoja na Kiongozi mkuu wa huduma ya New Vine International Church Mch Goodluck Kyara, Mrs Lucy Ikachoi pamoja na wengine wengi.Katika siku hiyo mada zitazotanabaishwa ni pamoja na

-Understanding the power and purpose of a women
-A lady with carrier
-A woman in changing world

Binti kama uko Mwanza huna sababu ya kukosa hii, kiingilio ni bure




No comments:

Post a Comment