Home

Wednesday, November 14, 2012

Breaking News: Baba yake Mzazi na Fanuel Sedekia Afariki Dunia


Hapa ilikuwa wakati wa kuuaga mwili wa Marehemu Fanuel Sedekia jijini Arusha


Habari zilizotufikia Hosanna Inc zinasema kuwa Baba Mzazi wa aliyekuwa mwanamuziki mahiri wa Nyimbo za injili nchini Mtumishi  Fanuel Sedekia, Mzee SEDEKIA amefariki Dunia siku ya jana jioni tarehe 13.11.2012.Kwa taarifa zaidi tutaendelea kuwajuza.

No comments:

Post a Comment