Home

Friday, April 8, 2011

DVD za Fresh Fire Night Concert zakamilika

Hatimaye dvd za lile tamasha la kusifu na kuabudu lililofanyika katika chuo cha Mtakatifu Augustino(Saut) Mwanza tarehe 4/3/2011 Zimekamilika. Akiiiambia Hosanna Inc mratibu wa utengenezaji wa kazi hiyo Bro Baraka Simon amesema baada ya muda mfupi zitakua sokoni. Production nzima ya DVD hiyo imefanywa na Crew toka Saut kitengo cha mawasiliano ya Umma(Mass-comunication). Hosanna Inc itawaletea taarifa zaidi na namna ya kuzipata Dvd hizo
Sehemu ya mbele ya DvD hizo
Upande wa pili wa Dvd hizo




No comments:

Post a Comment