Home

Sunday, April 10, 2011

Miriam Lukindo - Anasikia

Jumapili ya leo kuanzia saa nane mchana  katika ukumbi wa Diamond Jubelee, mwanamuziki Nguli wa Injili hapa Tanzania Miriam Lukindo anatarajia kuzindua album yake iitwayo ni asubuhi.Uzinduzi huo pamoja na kuwashirikisha wanamuziki wengine wa Kitanzania,pia atakuwepo mwanadada toka kenya aitwaye Mirion Shako. Ifuatayo ni moja kati ya kazi za Miriam iitwayo Anasikia


1 comment: