Hatimaye Miriam Lukindo azindua album yake Diamond Jubelee
Mwanamuziki wa nyimbo za injili Miriam Lukindo akiimba wimbo wa Ni Asubuhi wakati wa uzinduzi wa albamu yake ya nyimbo za injili inayokwenda kwa jina hilo hilo ‘Ni Asubuhi'.
Miriamu Lukindo (kushoto) akicheza sambamba na waimbaji wake
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Jordan Rukimbana (kushoto) akipokea CD ya nyimbo za injili kutoka kwa Miriam Lukindo ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa albamu hiyo. Rugimbana ndiye aliyekuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa albamu hiyo ya Miriam Lukindo inayokwenda kwa jina la ‘Ni Asubuhi’ katika ukumbi wa Diomond Jubilee jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment