Home

Wednesday, April 27, 2011

Pasaka ndani ya Cathedral of Joy Mwanza

Cathedral of Joy ni kanisa lililo chini ya Askofu John Komanya na linamatawi kadhaa liliwemo  tawi la Mwanza linaloongozwa na Mtumishi wa MUNGU Mama Beatrice Kimaro. Jijini Mwanza Cadhedraw of Joy Ibada zake zinafanyikia katika eneo la kisesa ndani ya Kassa Charity Schools. Jumapili ya pasaka tar 24/04/2011 kulifanyika ibada iliyojaa nguvu za Mungu ambapo Mtumishi wa Mungu Jesse Jonathan toka Dar-es-salaam akiambatana na mkewe walihudumu Neno la Mungu. Mungu ni ROHO nao wamwabuduo inawapasa kumwabudu katika ROHO na kweli.

Askofu mkuu wa Cathedral of Joy John Komanya

Praise Team ya Cadherdal of Joy Mwanza ikiimba siku siku ya pasaka

Sifa na utukufu ni kwa Mungu pekeee

Hahaaa sio kwamba anascrach cd through Tantable but ni Keyboardist akiwa kazini

Praise leader wa Cathedral of joy Mwanza madaam Esther, huyu mdada alimduwaza kila mtu kwa uwezo wake wa Kuimba na kucheza 

Mwamba Imara asiye shindwa kamwe nina Babaaa
Mama Beatrice Kimaro mchungaji wa Cathedral of Joy Mwanza

Mtumishi wa Mungu Jesse Jonathan na Mkewe, Mtumishi Jesse alifundisha somo linaloitwa THE WONDERS OF RESURRECTION

Dada Syana akimsifu Mungu

Mtumishi Jesse Jonathan na mkewe wakifanya maombezi

Cathedraw of Joy Mwanza

No comments:

Post a Comment