Home

Wednesday, April 27, 2011

Tamasha la Pasaka 2011 lafanyika Mwanza

Mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama kwa mara nyingine amefanikiwa kuwaletea wakazi wa Mwanza kile walichokuwa wakikisubiri kwa hamu. Baada ya Promotion ya takribani miezi mitatu juu ya uwepo wa tamasha la pasaka jijini Mwanza, hatimaye limefanyika kwa kishindo katika uwanja wa CCM Kirumba. 

Hili ni Tamasha la tatu kwa pasaka hii ya mwaka 2011 baada ya matamasha yaliyotangulia lile lilolofanyika siku ya pasaka tar 24/04/2011 likafuatiwa na lililofanyika mkoani Dodoma siku iliyofuata.


Umati mkubwa wa watu ulijitokeza uwanjani hapo

Abiria chunga mzigo wako,watu hawakutaka kupak magari yao nje ya uwanja

Upendo Nkone na Bonny wakiimba Upendo wa YESU wanizunguka

Solomon Mukubwa,Rose na Bonny wakimsapot Nkone stajini

Mpiga picha maarufu nchini John Bukuku alishuhudia tukio zima

Solomon Mukubwa akiwa stejini


Christina Shusho stajini

Christina Shusho na Rose Mhando wakiimpa pamoja nyimbo ya Shushu Mtetezi wangu yu Hai

Christina Shushu akiwauliza watu mnataka niimbe tena nyimbo gani?!!!!

Hosanna Inc ilipata nafasi ya kubadilishana mawazo na Mablogger maarufu nchini,wa kwanza kushoto ni Albert G Sengo wa toka blog ya gsengo, John Bukuku wa Fullshangwe na Issa Michuzi maarufu kwa jina la Michuzi JR toka blog ya jiachie

Ilikua kaazi kweli kweli hiyo jana

Anastazia Mukabwa  toka Kenya,mwanamama huyu pia anagombania Tuzo ya mwanamuziki bora wa kike nchini Kenya

Anatazia Mukabwa na Rose Mhando wakiwa stejini

Hahaa Hujaelewa tu mtumshi!!!, Oky chomoa hicho kiatu

Hongera Rose

Mukabwa na Rose wakiimba Nyimbo yao maarufu ya Kiatu Kivue uwanjani CCM Kirumba

Rose Mhando akiwa na timu yake wakiimba wimbo wa Nibebe

Rose Mhando akiongea na wakazi wa Mwanza kabla ya kuanza kuimba



View Nibebe ilivyokuwa katka uwanja wa ccm Kirumba

No comments:

Post a Comment