Home

Thursday, May 5, 2011

Easter conference under Tafes Mwanza

Wakati wa Pasaka, jumuiya ya wanafunzi wa vyuo vikuu jijini Mwanza waliandaa kongamano maalumu la pasaka. Kongamano hilo maarufu kama Discipleship Training seminar (DTS) lilifanyika katika Shule ya sekondari Kassa iliyoko katika  eneo la kisesa jijnini Mwanza. Jumla ya vyuo nane viliweza kushiriki na masomo mengi yaliweza kufundishwa toka wa wawezeshaji mbalimbali  ndani nje ya jiji la Mwanza.


Moja kati ya vitu vilivyosisimua katika kongamano hilo ni muitikio wa Mtume Danstan Haule Maboya kukubali kuja na kufundisha siku ya Pasaka.

Praise team ya Tafes Mwanza wakati wa DTS mwaka huu wa 2011

Washiriki wa kongamano wakiwa kwenye Bible study


Michezo ilifanyika wakati wa jioni


Hahaa Timu ya Mitume na manabii


Wakati wengine wako uwanjani hawa walikuwa kiuwepo zaidi

Washiriki wa Kongamano wakisikiliza mmoja ya wawezeshaji w kongamano hilo Mr Kassa. Mwenye Raba ni Professa Mahalu toka chuo kikuu cha Bugando. Profesa mahalu alifundisha somo la Academic Excellence.

Mwenyekiti wa Tafes Mkoa wa Mwanza Bro Goodluck Kyalla akiwa na Apostle Danstan Maboya
Apostle Danstan Maboya akiwa Madhabahuni

Apostle Daanstan Maboya akifundisha katika kongamalo la Pasaka jijini Mwanza


Kuanzia kushoto ni Mr Kassa akifuatiwa na Mrs jesse na Mtumishi Jesse jonathani mwenye  shati jeupe. Kulia ni Mrs Goodluck Kyalla wakimsikiliza Apostle Danstan Haule Maboya


1 comment:

  1. Aisee DTS ilikuwa nzuri sana inaonekana. Tangu nilipokuwa chuo mpaka sasa nina attend DTS,kama sio kufundisha basi ile kwenda tuu. Big Up Mwanza

    ReplyDelete