Home

Wednesday, May 4, 2011

Filamu Mpya toka Td Jakes Entreprises

Mhubiri maarufu nchini Marekani Askofu Thomas Dexter Jakes Tarehe 6/05/2011 anatarajia kuiinguiza rasmi sokon Filamu yake ya Kwanza kwa Mwaka huu wa 2011 iitwayo JUMPING THE BROOM. Tofauti na kuchunga kanisa huduma ambayo ameitiwa,Td Jakes amekuwa akitoa Filamu kadhaa kupitia Kampuni yake ya Td Jakes Enterprises. Katika Filamu hiyo Td Jakes ameigiza Mwenyewe kama Mchungaji.Baadhi ya Filamu za Td Jakes alizowahi kutoa ni pamoja na Not Easy Broken, pamoja na Woman Though art Loose.


Front Cover ya Filamu hiyo



Moja kati ya Matukio yaliyomo katika Filamu hiyo, nyuma anaonekana Askofu Td Jakes

1 comment:

  1. nitaipataje hiyo movu ya Jakes napatikanika katika na. 0717 450 300

    ReplyDelete