Home

Saturday, May 7, 2011

Marafiki Gospel Singers watoa Video


Marafiki Gosprel Singers

Kundi la muziki wa injili kutoka chuo cha Saint Augustine Univesrsity maarufu kwa jina la Marafiki Gospel Singers, limefanikisha kurekodi video za nyimbo mbili ambazo ni “Elisha-Dahi” pamoja na “Uweponi Mwako”. Kwa mujibu wa vijana hao, video hizo zimetengenezwa Saut Video Production.

Marafiki Gospel Group linaloundwa na vijana watatu Emmanuel Landei, James Kalekwa na Paul Shadrak, mpaka sasa album yao iitwayo RAFIKI imekamilika na muda wowote itaingia sokoni.




1 comment:

  1. Hongereni sana ndugu zangu................ tunawaombeeni kwa mwenyezi Mungu awajalie nguvu zaidi......................

    ReplyDelete