Home

Monday, May 2, 2011

Picha Yetu Jumatatu Hii



Pichani ni askofu Augustine Mpemba akiwa na Familia yake. Askofu Mpemba ni Moja kati ya watumishi wa Mungu walioanza utumishi miaka ya Nyuma sana  sasa katika jijini Mwaza. Kwa sasa anamiliki kituo cha Redio kiitwacho KWA NEEMA FM kinachorusha matangazo yake katika jiji la Mwanza na mikoa ya jirani na jiji hilo.

No comments:

Post a Comment