Home

Monday, May 2, 2011

Swali Letu Mwezi huu

Hapa nchini Tanzania kwa sasa kuna mchakato unaoendelea wa kupata katiba mpya.Mchakato huu unamuhusu kila mtanzania kwa kuwa kwa namna moja au nyingine katiba inamhusu. Tukirudi kanisani, kama utafanya utafiti juu ya hili utagundua ni watumishi wachache sana ambao wanaufahamu wa kina kuhusu mchakato mzima wa katiba. 

Blog yako ya Hosanna Inc inataka kujua nini hasa kinachopelekea watumishi wa Mungu kutojihusisha kikamilifu juu ya jambo hilo. Hivyo basi ukiwa kama mdau wa blog hii tunakuomba ushiriki kwa kupiga kura. Sehemu ya kupigia kura iko juu upande wa kulia wa blog hii

Swali: Watumishi wa Mungu wengi hawajihusishi na mchakato wa kupata katiba mpya, hali hii inatokana na

Kutojua umuhimu wake
kutoijua katibaYenyewe
Kuwa Bize na Huduma

No comments:

Post a Comment