Home

Saturday, July 23, 2011

Erica wa Merry Merry atarajia kupata mtoto


Erica na Mumewe Warryn pamoja na binti yao Krista kipindi akiwa bado mdogo

Mwanamuziki maarufu wa Muziki wa injili Duniani aitwaye Erica ambaye ni mmoja kati ya ndugu wawili wanaounda kundi la Marry Marry linaloundwa na Yeye pamoja na ndugu yake aitwaye Tina. Erica  ambaye anatarajia kupata mtoto hivi karibuni, ameolewa na Warryn Campbell na huyu atakuwa ni mtoto wake wa tatu katika ndoa yake. Mtoto wake wa kwanza ni binti mwenye umri wa miaka saba na wa pili ni wakiume aitwaye Warryn Jr anatakriban mwaka mmoja sasa.

Toka Mwaka huu uanze Marry Marry wamefanya vizuri toka walipotoa nyimbo yao ya kwanza iitwayo “Walking” kisha wakatoa “Wave my Flag” na hivi karibuni wameachia nyimbo yao mpya iitwayo “Survive” ambayo imemake Headline sana kwenye media nyingi nchini Marekani.
Hapa marry Marry wameshirikiana na Kirk Franklin nyimbo inaitwa "Thank You"

No comments:

Post a Comment