Home

Monday, July 4, 2011

Friends on Friday Yafana

Ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na wakazi wa jiji la Dar wes salaam ijulikanayo kama Friends on Friday ilifanyika ijumaa iliyopita huku Miriam Lukindo, Christina Shusho na The Whispers Band wakimsifu Mungu kwa namna ya Tofauti.Fuatilia picha hapo chini.

Kushoto ni Amani, Miriam Mauki, Amandus na Protace

Pichani anaonekana mbeba maono wa Event Hiyo Samsasali na nyuma yake ni Mc Maarufu jijini Dar Mc Luvanda wakishereheka

No comments:

Post a Comment