Home

Thursday, July 7, 2011

Tafes Praise team (Mza) During CBE Graduation 2011




Katika hii video ni kikundi cha wanafunzi waliookoka vyuoni kijulikanacho kama TAFES, na hapo ilikuwa siku ya Graduation kwa wanafunzi waliookoka toka chuo cha CBE Mwanza Campus. Mgeni rasmi kwenye mahafali hayo alikuwa ni Mchungaji Daniel Kulola. 

Kikundi hiki cha kusifu na kuabudu kilijumuisha waimbaji toka chuo kikuu cha Bugando pamoja na chuo kikuu cha Mt Augustino.

No comments:

Post a Comment