Home

Saturday, July 16, 2011

Umva LYRICS By Sowers Group

Sowers Group

UMVA
Awezae, atendae
Mwenye nguvu
Mungu muubaji
Nyoosha mkono wako wabaraka
Nakuomba unifariji baba

Chorus:
Umva kurira kwange
Reba gusenga kwange
Ndagusaba umbabarire
Umva kurira kwanjye
Reba gusenga kwangye
Ndagusaba unsubise

Marafiki wa Dunia
Siwazuri Kama wewe

Wakati washida
Wameniacha
Ila wewe Mungu
Uko nami

Matatizo yazunguka
Pande zote
Msaada nikatika wewe
Bwana wamajeshi
Nakuomba unisikie

Oona kuomba kwangu
Sikia kulia kwangu

Nakuhitaji Unifariji Baaba

No comments:

Post a Comment