Home

Monday, August 1, 2011

MKUTANO WA NENO LA MUNGU NA MWALIMU CHRISTOPHER MWAKASEGE KUTOKA TANZANIA:BIRMINGHAM - UK 27-28 /08/ 2011.


Mwl Christopher Mwakasege
Jumuiya ya wakristo katika Uingereza na Ulaya inawakaribisha katika mkutano wa neno la Mungu utakokuwa ukiendeshwa na mtumishi wa Mungu Mwalimu Christopher Mwakasege kutoka Tanzania.  
Mwlm Mwakasege ni Mchumi na Mwalimu wa neno la Mungu ambaye mafundisho yake hayana mlengo wa aina moja tu. Njoo ufaidike katika maeneo yote ya maisha.

MATARAJIO

  • Wenye shida za kiroho, nafsi, mwili mnakaribishwa mpate majibu ya maswali yenu.
  • Mafundisho ya namna ya kujikomboa kiuchumi kwa mujibu wa neno la Mungu yatafundishwa
  • Timu ya Injili na uimbaji ya ATCE  inatakuwepo.

 

ANWANI YA UKUMBI

WARD END ELIM PENTECOST CHURCH

ST MARGRETH ROAD

WARD END

B8 2BB

BIRMINGHAM.

Mikutano itakuwa inaanza asubuhi saa nne mpaka saa mbili jioni.

MAELEZO ZAIDI: Wasiliana na 

MWENYEKITI  REV CHATAWE  0794463282

MWENYEKITI MSAIDIZI  MCH MAIRA FROLA  07916160641

KATIBU BIRMINGHAM LILIAN LUGENDO   07557228957   



1 comment: