Home

Monday, August 1, 2011

Picha Yetu Jumatatu Hii : Askofu Mtokambali akimkabidhi Raisi kikwete Hundi yenye thamani ya Milioni Kumi




Pichani Askofu Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God Dr.Barnabas Mtokambali akimkabidhi Rais Jakaya Mrisho Kikwete hundi yenye thamani ya Shilingi Milioni kumi(10m) kama mchango wa kanisa hilo kwa ajili ya kununulia mashuka ya wagonjwa kwenye hospitali kuu ya mkoa wa Dodoma mnamo July 2010.

Makabidhiano hayo yalifanyika wakati wa mkutano Mkuu wa Kanisa hilo uliofanyika chuo Kikuu Dodoma ambapo Rais Kikwete alikuwa mgeni rasmi. Rais Kikwete alikabidhi mchango huo kwa mkuu wa mkoa wa Dodoma Mhandisi Dkt. James Msekela.

No comments:

Post a Comment