Home

Monday, August 8, 2011

Picha Yetu Jumatatu Hii : Mtume Mwingira akimkabidhi Raisi Kikwete Mchango wa M 10



Rais Jakaya Kikwete akipokea mchango wa shilingi milioni 10 kutoka kwa kiongozi wa kanisa la Efatha nchini, Mtume na Nabii, Josephat Mwingira katika harambee ya kuchangia Mfuko wa Maendeleo wa Mkoa wa Rukwa iliyoongozwa na Rais kwenye hoteli ya Kilimanjaro- Kempinski jijini Dar May 27, 2009

No comments:

Post a Comment