Home

Monday, August 15, 2011

Picha Yetu Jumatatu Hii : Watumishi Tisa nchini walipokabidhiwa Shahada za Udaktari wa Heshima

Pichani Mch Ranwell Mwanisongole, Mtume Fernandes na Mkewe, Mch Huruma Nkone, Bishop David Mwasota, Mch Mwaisabila pamoja na wengine wakipokea Shahada yaUzamivu(udaktari). Jumla ya watumishi wa Mungu wapatao tisa kutoka Tanzania walitunukiwa shahada ya Heshima ya Udaktari kutoka chuo kikuu cha Omega Global University kilichoko Afrika ya kusini.

sherehe hiyo ilihudhuriwa pia na Spika wa Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Anna Makinda.Tukio hili lilitokea katika ukumbi wa kaniosa la Upanga City Christian Centre mnamo mwezi wa pili mwaka huu wa 2011.

No comments:

Post a Comment