Home

Friday, November 18, 2011

Kirk Franklin Kufanya Ziara Nchini Zambia



Mwanamuziki wa injili Mwenye makeke mengi jukwaani Kutoka nchini Marekani Kirk Franklin Mnamo tarehe 5 Dec 2011 atakuwa akifanya Tamasha la Kusifu na kuabudu Jijini Lusaka nchini Zambia .Katika Tamasha hilo lililoandaliwa na Blessing Centre(Church) na  linatarajia kuanza Mnamo Saa 12:00 jion- 4:00 usiku katika Kanisa hilo.

Kwa Upande wa nchi za Afrika mashariki Kirk Franklin aliwahi kuja na kufanya  Tamasha la Kusifu na Kuabudu katika jiji la Nairobi nchini Kenya mnamo Sept 1999 na Concert hilo lililomake Headlines jijini humo lilifanyika katika viwanja vya Mavuno Park.

Kirk Franklin alipokuwa kwenye Ziara nchini Kenya katika jiji la Nairobi Mwaka 1999, concert hili lilifanyika katika Viwanja vya Mavuno Park

1 comment:

  1. Kirk Franklin alifanya Tamasha Afrika Mashariki kwa mara ya kwanza nchini Uganda, mwaka 2008 ambalo nilikuwepo huko, lilifanyika katika viwanja vya Lugogo; Kampala Pia alifanya tena Uganda mwaka 2009 katika uwanja wa Nakivubo; Kampala, pia nilikuwepo huko, alipotoka Kampala ndiyo akemda Nairobi mwaka huo wa 2009.

    ReplyDelete