Home

Monday, December 5, 2011

Picha Yetu Jumatatu Hii: Ndoa ya Solorist wa Kwetu Pazuri

Pichani ni Mwanadada UMURISA  ambaye ni sololist wa Ambasadors of Christ choir kutoka nchini Rwanda siku ya Harusi yake na mumewe.Umurisa ndiye aliyelead kwenye nyimbo ya KWETU PAZURI


No comments:

Post a Comment