Home

Friday, December 2, 2011

Uche kuonekana tena na Joyous Cerebration katika "Joyous 16"



Wakati kundi maarufu la kusifu na kuabudu barani Afrika Joyous Cerebration kutoka Afrika ya kusini tarehe 15/dec/2011 linatarajiwa kurekodi DVD yao Mpya ya 16 katika jiji la Johanesberg. 

Imefahamika kuwa katika DVD hiyo Mwanamuziki Ucheagu au uche Double Double anatarajia kuwa miongoni mwa wanamuziki wa Joyous watakaopanda jukwaani na kulead. Umaarufu wa uche kundini humo umekuja mara baada ya kulead the current Hit song in Afrika iitwayo “Double Double” ambayo wengine huiita My God Is Good.
Katika Album yao hiyo, Uche anatarajia kuongoza nyimbo inayoitwa OVERFLOW. Kwa mujibu wa viongozi wa kundi hilo safari hii joyous watapanda jukwaani wakiwa na sura mpya(New Members) waliopatikana katika usaili uliofanywa sahemu mbalimbali nchini humo.

No comments:

Post a Comment