Home

Thursday, March 8, 2012

Hatimaye Martha Mwaipaja afunga ndoa na Mchungaji John Said


Martha Mwaipaja akiwa na mumewe Mch John Said siku ya harisi yao

Ile ndoa iliyokuwa ikisubiliwa kwa hamu kati ya Muimbaji mashuhuri wa nyimbo za injili mwanadada Martha Mwaipaja na Mch John Said ilifanyika siku ya Jumapili ya tarehe 4/03/2012 na sherehe zilifanyika katika ukumbi wa Delux ulioko maeneo ya sinza Jijini Dar es salaam.

Ndoa hiyo ilihudhuriwa na waimbaji mbalimbali wa Muziki wa injili nchini pamoja na watangazaji.Kabla ya ndoa hiyo Send off Party ilifanyika katika ukumbi wa Diamond Jubelee.Hosanna Inc inawatakia maharusi hao Mafanikio katika ndoa yao kwa utukufu wa Mungu.

Wakati wa keki



Pictures Source:Gospel Kitaa

No comments:

Post a Comment