Home

Saturday, April 21, 2012

Mercy Denis aja na Rehema Zako


Mercy Denisy akiimba na Glorious Celebration wakati wa Tanazania Music Awards 2011
Mercy Denis ni mwanamuziki wa kundi maarufu la Glorious Celebration la jijini Dar es salaam ambalo kwa sasa linatamba na album yao iitwayo NIGUSE.Mercy kwa sasa amekuja na nyimbo yake binafsi iitwayo “Rehema zako”.Unaweza kuisikiliza hapa


1 comment:

  1. KAZI YENU NI NJEMA...BLOG INAPENDEZA MNO.....FULL-MAANOINTING.....IT Z ME WAUGUTUSHO THE 1ST

    ReplyDelete