Home

Monday, April 23, 2012

Picha Yetu Jumatatu Hii: Waziri Ngereja akimkabidhi Mch Mbuzi wa Pasaka


Pichani anaonekana waziri wa Nishati na Madini Mh William Ngereja kulia, akimkabidhi zawadi ya mbuzi Mch Piter Mitimingi wa huduma ya Voice of Hope(VOHM)  kwa ajili ya sikukuu ya Pasaka April 2012 ,tukio hili lilitokea  katika kanisa la AICT Magomeni jijini Dar es salaam 


No comments:

Post a Comment