Home

Wednesday, April 4, 2012

Vibration Friends on Friday kufanyika tar 13/04/2012


THE VOICE
Kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndivyo ambavyo Friends on Friday inavyozidi kuiwa gumzo jijini Dar es salaam na mikoa mingine.Kwa ambao hawajui namaanisha nini Friends ion Friday ni usiku maalumu ufanyikao siku ya ijumaa mara moja kwa mwezi ambao huwaleta pamoja marafiki mbalimbali waliookoka kwa lengo la kubadilishana mawazo,kula,kunywa na kufurahi kupitia LIVE GOSPEL BAND.

Friends on Friday kwa mwezi wa nne(April) itafanyika siku ya Tarehe 13/04/2012 katika ukumbi wa Tamaal Hotel uliopo mwenge jijini Dar es salaam.Katika Friends on Friday hii iliyopewa jina la FRIENDS ON FRIDAY VIBRATION, kundi maarufu la akapela maarufu kwa jina la THE VOICE litaongeza mtetemo wa sauti siku hiyo huku Live Band ikiongozwa na Samuel Yona itahakikisha umati utakaofika utapata wasaamzuri wa kumtukuza Mungu.

Kuna vingi vya kukosa lakini sio hii Friends on Friday Mtetemo

1 comment: