Home

Monday, May 21, 2012

Picha Yetu Jumatatu Hii: Prophet Eubert Angel akifanya maombi nchini Botswana

Prophet Eubert Angel wa huduma ya Spirit of Embassy ya nchini Zimbabwe akifanya maombi katika Mlima Botswana wakati Nabii huyo Kijana pamoja na Timu yake walipotembelea nchi ya Botwana Kihuduma.

No comments:

Post a Comment