Home

Monday, May 21, 2012

Wachawi waliokuwa wakisafiri kutoka Kigoma washindwa kufanya kazi zao katika kanisa la Ufunuo jijini Mwanza,Waanguka



Watu hao wawili ambao ni Masaganya Kalimanzila umri wa miaka 30 (mwanamke) na Chiza Juma (mwanaume) waliotambulika kuwa ni wachawi mara baada ya kubanwa na kujitambulisha wamekamatwa majira ya saa 12 asubuhi jana tarehe 20.05.2012 katika kanisa la Ufunuo lililopo maeneo ya Butimba jijini Mwanza wakisafiri kwa ungo toka kijiji cha Kaziramkunda wilayani Kasulu mkoani Kigoma hadi jijini Mwanza kwa nia ya kuwachukuwa watu watatu walioagizwa kwa ajili ya sadaka.

Watumishi wa Mungu wa Kanisa hilo la Ufunuo Mch Diana Bandele  pamoja na Nabii Abigaili Zumaridi wameeleza mkasa mzima na unaweza wasikiliza na kujionea kupitia video clip hii.

No comments:

Post a Comment