Home

Thursday, October 25, 2012

Stay Tune with R.I.O.T Men Conference Sept 15-25/Nov 2012 jijini Dar es Salaam



Pastor Isaac Malonga
 Wakati ni miezi kadhaa imepita toka R.I.O.T (Righteous Invasion of Truth) ilipoandaa  women conference kufanyika hapa jijini Dar es salaam na kuwa baraka kwa wote waliohudhuria wakiwemo wanaume, mnamo tarehe 15-25/Nov/2012 kutafanyika kongamano lingine under R.I.O.T na hili ni maalumu kwa wanaume yaani R.I.O.T MEN'S CONFERENCE.

R.I.O.T ambayo ni OUTREACH wing ya Tehillah Friday iko chini ya Pastor Isaac Malonga, wakati R.I.O.T  WOMAN CONFERENCE ilikuwa na theme isemayo WHEN WOMAN WORSHIP na kwa upande wa hii R.I.O.T MEN'S CONFERENCE ina theme isemayo R.I.O.T MEN OF VALOR.

Kongamano hili litafanyika katika ukumbi wa Makumbusho pembeni ya chuo cha usimamizi wa Fedha(IFM).Katika Men Conference Kama ilivyokuwa kwenye R.I.O.T  WOMAN CONFERENCE watu wote wanakaribishwa wakiwamo wadada.Stay with us for more details kwa habari ya watakaohudumu na mengine mengi. R.I.O.T Men's conference is the talk of the city Dare not to miss.


1 comment:

  1. Hello Ya'll,

    Below is a list of the highest ranking FOREX brokers:
    1. Most Recommended Forex Broker
    2. eToro - $50 min. deposit.

    Here is a list of the best forex tools:
    1. ForexTrendy - Recommended Probability Software.
    2. EA Builder - Custom Indicators Autotrading.
    3. Fast FX Profit - Secret Forex Strategy.

    Hopefully these lists are benificial to you.

    ReplyDelete