Wakati wa Pasaka, jumuiya ya wanafunzi wa vyuo vikuu jijini Mwanza waliandaa kongamano maalumu la pasaka. Kongamano hilo maarufu kama Discipleship Training seminar (DTS) lilifanyika katika Shule ya sekondari Kassa iliyoko katika eneo la kisesa jijnini Mwanza. Jumla ya vyuo nane viliweza kushiriki na masomo mengi yaliweza kufundishwa toka wa wawezeshaji mbalimbali ndani nje ya jiji la Mwanza.
Moja kati ya vitu vilivyosisimua katika kongamanohilo ni muitikio wa Mtume Danstan Haule Maboya kukubali kuja na kufundisha siku ya Pasaka.
Moja kati ya vitu vilivyosisimua katika kongamano
Praise team ya Tafes Mwanza wakati wa DTS mwaka huu wa 2011 |
Washiriki wa kongamano wakiwa kwenye Bible study |
Michezo ilifanyika wakati wa jioni |
Hahaa Timu ya Mitume na manabii |
Wakati wengine wako uwanjani hawa walikuwa kiuwepo zaidi |
Washiriki wa Kongamano wakisikiliza mmoja ya wawezeshaji w kongamano |
Mwenyekiti wa Tafes Mkoa wa Mwanza Bro Goodluck Kyalla akiwa na Apostle Danstan Maboya |
Apostle Danstan Maboya akiwa Madhabahuni |
Apostle Daanstan Maboya akifundisha katika kongamalo la Pasaka jijini Mwanza |
Kuanzia kushoto ni Mr Kassa akifuatiwa na Mrs jesse na Mtumishi Jesse jonathani mwenye shati jeupe. Kulia ni Mrs Goodluck Kyalla wakimsikiliza Apostle Danstan Haule Maboya |
Aisee DTS ilikuwa nzuri sana inaonekana. Tangu nilipokuwa chuo mpaka sasa nina attend DTS,kama sio kufundisha basi ile kwenda tuu. Big Up Mwanza
ReplyDelete