Bendi ya Muziki wa injili toka jijini Mwanza iitwayo CBCI Band toka katika kanisa la Covenant Bible Fellowship International jumapili ya jana Tarehe 08/05/2011 ilifanaya tamasha kubwa la kusifu na kuabudu katika ukumbi wa Vijana Social Centre jijini Mwanza.
Tamasha hilo lililokuwa na Kauli mbiu ya Touching Heaven liliambatana na kuwekwa wakfu Album mpya ya CBCI Band iitwayo NAFURAHI.
|
Tafes Praise and Worship Team walikuwepo ukumbini |
|
Wadau “Nzwalla Brothers” on stage |
|
Kvcc Praise Team and CBCI Band kwa pamoja waliimba Bayete Ikotsi & Double Double |
|
Hatimaye walengwa wa Event CBCI Band wakiwa stejini wakiongozwa na Bro Lukas |
|
CBCI Band wakiimba |
|
Mchungaji kiongozi wa kanisa la Covenant Bible Fellowship International Pastor Moses Nzwalla akiiweka wakfu album hiyo |
|
Watangazaji wa Kwa Neema Fm Eveline Buchanagandi na Adolph Nzwalla walikuwepo ukumbini hapo. |
No comments:
Post a Comment