Kwa muda mrefu sasa kanisa la Tanzania limekuwa likijitahidi kwenda sambamba na kuongezeka kwa Teknolojia duniani. Hivyo ili kulifanikisha hilo kanisa limekuwa likitumia vyombo vya habari mbalimbali pamoja na Tovuti/blogs ili kumtangaza KRISTO hapa nchini na Ulimwengunn kwa Ujumla. Kwa kuliona Hilo Hosanna Inc imeandaa Orodha ya pili baada ya ile ya kwanza iliyotoka takribani wiki mbili zilizopita.
Lengo hasa la orodha hii iliyoboreshwa kulinganisha na ile ya awali ni kuwawezesha watanzania na watu wote kwa ujumla namna ambavyo wanaweza kupata NENO LA MUNGU kupitia vyombo vya habari vilivyoko hapa nchini na nje ya nchi . Orodha hii itakuwa ikiboreshwa mara kwa mara ili kuendana na wakati.
MAGAZETI / MAJARIDA
Gaeti/Jarida | Mmiliki | Lilipo |
Jibu la Maisha | Tag Church | Dar |
Msema Kweli | Wapo Mission | Dar |
Ngurumo | Geodavie Ministry | Dar |
Nyakati | EMEN | Dar |
Strictly Gospel(Jarida) | ElGiboh Media Solution | Dar |
Utatu | Efatha Ministry | Dar |
RADIO
Radio Station | Mmiliki | Ilipo |
HHC Alive Fm | Highway of Holliness | Mza |
Kwa Neema Fm | kwa Neema Church | Mza |
Living Water Fm | Living Water Church | Mza |
Morning Star Radio | Adventists Church of T | Dar |
Mwangaza Fm | Catholic Church of T | Dom |
Praise Power Radio | TAG Mikocheni B | Dar |
Radio Faraja | Cathoric Church of T | Shy |
Radio Maria | Catholic Church of T | Dar |
Radio Okoa | Hatuna taarifa | Mor |
Radio Saut ya Injili | Sauti Ya Injili | Knjr |
Safina Fm | Mt Lema | Arsh |
Upendo Fm | KKKT | Dar |
Ushindi Fm | TAG Church | Mby |
Uzima Fm | Hatuna taarifa | Dom |
Wapo Radio Fm | Wapo Mission | Dar |
Radio Overcomers Fm | Mt Boaz Sollo | Irnga |
Radio Huruma Roman Catholic Tnga
Top Radio Hatuna Taarifa Morgr
TELEVISION
Television | Mmiliki | Ilipo |
Agape Television Network | World Agape Ministry | Dar |
Trinity Television | Efatha Ministry | Dar |
TOVUTI / BLOG
Kama kuna Radio,Gazeti, Jarida, Television, Tovuti/Blog yeyote amabyo haipo miongoni mwa hizo zilizopo hapo juu, ambayo inamilikiwa na Taasisi au mtanzania aliyeko nje au ndani ya nchi yenye kumtangaza Kristo tafadhali tunaomba ututumie tovuti/blog hiyo.
Endapo kuna Radio, Gazeti, Jarida,Television website/tovuti ambayo imekosewa eidha link yenyewe, mmiliki au mahali ilipo, pia tunaomba utujulishe ili tuweze kufanya marekebisho. Mungu akubariki.
Ipo nyingine radio overcomers fm iringa mmiliki ni askofu boaz sollo wa Endtime Harvest Church na tovuti boazfoundation.blogspot.com
ReplyDeleteasante sana lakini kunamakosa kwenye hiyo tovuti ya KVCC Mwanza .
ReplyDeletekirumba Valley Christian Centre (TAG) tovuti ni
www.kvcctz.org
Bro Osaki na Jonas tunashukuru kwa TAARIFA,we will make changes as soon as posble.Mbarikiwe
ReplyDeletembarikiwe sana watumishi wa Mungu kuna hii blog ya kwangu naitumia kuhubiri injili ya Yesu kristo ni www.princeamos.com
ReplyDeletemimi ni mtanzania ila kwa sasa naishi nairobi kenya www.princeamos.com
ReplyDeleteBaraka fm radio inamilikiwa na Moravian Church iko mbeya
ReplyDeletekuna radio habari maalum inamilikiwa na kanisa la FPCT
ReplyDeleteYou are doing great job, you are a blessing.
ReplyDeletethese websites:
www.slm.or.tz owned by Shining Light Ministries of Dar Tz
www.victory.or.tz owned by ivbi - Shining Light ministry Dar Tz
www.ushindi.info owned by ushindi fellowship of ministers
reference Pastor Wile +2255715750120 or wmayemba@slm.or.tz
www.Ishekeli.blogspot.com mmiliki Penueli Poul Mtafya
ReplyDeleteBwana Yesu asifiwe Mungu akubariki sana kwa huduma yako njmea,mimi ni muimbaji wa injili nina blog yangu address ni www.neemangasha.blogspot.com
ReplyDeleteTunashukru kwa namna unavyojishughulisha na kumtangangaza KRISTO naomba pia uongeze katika orodha za watumishi mbalimbali hii blog www.lafanetcom.blogspot.com mmiliki ni MR&MRS LAMECK MTAKA lengo kuu ni kumtangaza Kristo kama ufanyavyo wewe.
ReplyDelete