Tuesday, October 16, 2012

Gospel Lyrics:Twakwabudu wewe tu Bwana - Rivers of LifeJohn Lisu akiongoza nyimbo ya hii ya “Twakuabudu wewe tu” wakati wa Sifa zivume LIVE DVD recording katika ukumbi wa Mlimani City.

Song: Twakuabudu wewe tu
Leaded by: John Lisu
Choir:Rivers of Life
Album:Sifa Zivume

Chorous
Twakuabudu wewe tu Bwana x 2
Uketiye enzini Mwako x 2


Twakuinua wewe tu Bwana x 2
Uketiye Enzini Mwako x 2
Twakupenda wewe tu Bwana  x 2
Uketiye enzini Mwako x 2

Chorous
Twakuabudu wewe tu Bwana x 2
Uketiye enzini Mwako x 2

Verse 1
Uweza wako ni wa ajabu Bwana
Matendo yako ni ya Milele Jehova
Umezungukwa na utukufu wako Bwana
Umezungukwa na upinde wa mvua

Twakuabudu wewe tu Bwana x 2
Uketiye enzini Mwako x 2
Twakupenda wewe tu Bwana x 2
Uketiye enzini Mwako x 2
Twakuinua wewe tu Bwana x 2
Uketiye Enzini Mwako x 2

 (Bridge)-Lisu
Haleluya Tunaribariki jina lako Bwana
Tunaliabudu jina lako
Wewe uliyezungukwa na utukufu wako
Wewe uliyezungukwa na maserafi na makerubi
Wewe uliyezungukwa na upinde wa mvua
Wewe uliyezungukwa kwa bahari ya kioo
Tunaliabudu jina lako Mungu wetu
Hakuna mwingine wa kufananishwa nawe
Hakuna mwingine wa kulinganishwa nawe
Wewe ni Bwana katikati ya maisha yetu
Tunakuabudu Bwana
Haleluya

2.Verse
Uweza wako ni wa ajabu Bwana
Matendo yako ni ya milele Jehova
Fadhili zako zanishangaza Bwana
Umezungukwa na utukufu wako Bwana
Umezungukwa na Maserafi Makerubi
Twaliabudu jina lako

Twakuabudu wewe tu Bwana x 2
Uketiye enzini Mwako x 2
Twakupenda wewe tu Bwana x 2
Uketiye enzini Mwako x 2
Wastahili wewe tu Bwana x 2

Uketiye enzini Mwako x 6

Wastahili wewe Bwana
Hakuna kama wewe Mungu
Umezungukwa na utukufu wako Haleluyah
Umezungukwa na Maserafi Makerubi
Hakuna kama wewe Bwana wastahili
Wastahili  x 3

LISU:Kupokea sifa
Wastahili
LISU:Heshima na nguvu
Wastahili
LISU:Hakuna kama wewe
Wastahili
LISU:Wewe ni Bwana
Wastahili
LISU:Wastahili
Wastahili
LISU:Bwana wastahili
Wastahili
LISU:Tunakuabudu Bwana
Wastahili
LISU:Hakuna kama wewe
Wastahili

LISU:Uketiye Enzini Mwako X 2
Uketiye Enzini Mwako X 4
Haleluya Haleluya

Rivers of Life Choir


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...