Wednesday, October 17, 2012

Caught by Cameras - Kifamilia Zaidi

Pastor Huruma Nkone akiwa na mkewe

Askofu Agustine Mpemba kutoka Mwanza akiwa na mkewe Dinah Mpemba pamoja na watoto wao.

Mwl Christipher Mwakasege akiwa na mkewe mama Diana Mwakasege.Ni mara chache sana kukuta picha za Mwl Mwakasege kama hivi, nyingi ni zile ambazo yuko madhabahuni.Unasema Mwakasege namna gani!!!! Kumbuka naye anafamilia pia

Rais Obama na Familia yake wakielekea kanisani katika kanisa la St. John's Episcopal Church lililoko  Washington, D.C. Hii ilikuwa ni 19/08/2012, Kitu nlicho-note ni kuwa mara zote Obama anapoonekana anakwenda kanisani sjui ni teknolojia wanabeba ipad ndogo ama ni protoko za kiofisi kuna mtu katangulia!! familia nzima huwa hawaonekani wamembeba Biblia physically.

Mwanamuziki wa Secular Music Lina Sanga akiwa nyumbani kwao na wazazi wake.Wazazi wa Lina wote wameokoka na wanasali katika kanisa la Ufufuo na Uzima lililo chini ya Askofu Gwajima.Kabla Lina hajaingia kwenye Secular aliwahi kuimba katika moja ya kwaya/band kanisani hapo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...