Sunday, October 7, 2012

Kongamano la Vijana Word Alive Sinza lafungua fahamu za wengi


Jesca Honore akilead wakati wa praise and worship kabla Rose Mushi hajaanza kufundisha

Kongamano la vijana katika kanisa la WORD ALIVE SINZA limeanza siku ya jana tarehe 6-10-2012 na linatarajia kumalizika leo tarehe 7-10-2012, kongamano hilo lililopewa jina la A CALLING TO HIGHER DIMENSION lilihudumiwa na waalimu tofauti tofauti huku vijana kutoka sehemu mbali mbali wakihudhuria

Minister Rose Mushi alikuwa mtumishi wa kwanza kusimama na kufundisha ambapo alifundisha somo la KIJANA NA MAHUSIANO.Akihudumu mapema asubuhi alisema Men are not ATM Machines that you can use KISSES AND HUGS as TEMBOCARD, ifikie mahari wasichana tunapokwenda kuolewa tuwe tume jitosheleza na sio kuhamishia mizigo kwa wanaume.Ukioa au ukaolewa kisha ukategemea kila kitu kutoka kwa mwenzio it means yeye ni kila kitu kwako na MUNGU hataki mwanadamu awe kila kitu kwako. Genesis 2:18, Kuna difference kati ya kuwa SINGLE na Kuwa Alone, neno single according to the dictionary it means UNIQUE,WHOLE

Maadam Rose akaandelea kusema being single is not a problem but being alone is a problem thats why GOD brought EVE not for Marriage but to cover the loneliness of Adam.Baada ya Rose Mushi alipanda madhabahuni Apostle Daniel Musokwa it was amazing.Apostle Daniel alifundisha somo CALLING TO THE MINISTRY ambapo kila aliyefika alipata ufahamu wa huduma na wito wa huduma. Moja kati ya mambo aliyokazia alisema kibiblia hakuna part time minister bali ukiokoka tu unakuwa full time minister, Kama wewe unafanya kazi bank,lawyer, daktari hizo ni carrier tu.

Atmosphere ilichange mara baada ya Pastor Isaac kupanda madhabahuni ambapo alifundisha somo la  HEART OF WORSHIPER, Pastor Isaac alifundisha basic things for a worshiper it was powerfull kisha akarudi Rose Mushi na akamalizia Modesta Mahiga.Modesta alifundisha somo la KIJANA NA UONGOZI katika nchi ya Tanzania.Modesta akasema wengi wa wapendwa hususani vijana wamekaa na kujifungia makanisani na hawataki kwenda sokoni(kutoka nje na kufanya biashara, na kuchangamkia fursa zilizopo katika Tanzania).Mwishoni watumishi wote waliohudumu walikaa kama panel na waliweza kujibu maswali ya vijana.Kongamano hili linamalizika leo  jumapili ambapo asubuhi kutafanyika ibada na jioni kutafanyika Praise and worship concert.

Angel Benard akilead wakati wa praise and worship


Minister Rose Mushi
Delicia Robertson akihudumu

Apostle Daniel Musokwa


The Man himself Ebenezer Lubala akicheza na codes


Word Alive Praise Team

Nikufananishee na nani upate kuwa sawa naye,WAPT on stage

Pastor Isaac Malonga akihudumu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...