Monday, October 15, 2012

Sisi ni nani mpaka tuseme sisi tunafanya miujiza- Apostle Maboya.



Apostle Danstan Maboya

Yesu alisema ikiwa mimi ninatoa pepo kwa Kidole cha Mungu, hii ina maana kwamba ile miracle sio ya kwake yeye ni Mungu kafanya. sisi ni nani mpaka tuseme sisi tunafanya miujiza.No, NI LAZIMA Mungu apate Heshima yake, kwa lugha nyingine uponyaji unapotokea ile ni Kazi ya Roho mtakatifu.Tunapotoa pepo Roho wa Mungu hushuka kwa kuliheshimu Jina la Yesu na kufanya muujiza sasa tunapojitapa pasipo mimi muujiza haufanyiki maana yake nini.

Tukijenga Tabia ya Kumuheshimu Mungu na Sifa zake zikabaki Pale pale Tutafufua Maiti.Sometimes Mungu anashindwa kufanya vitu vinavyotuzidi kwa sababu hapo katikati tunamnyan’ganya sifa.Anatuachia vitu vidogo vidogo vya kutusaidia hapo katikati lakini vile vitu extra huwa anavihifadhi kwa kuwa hatuwezi kuvibeba.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...