Felix Mshama |
Kwa
mara ya Kwanza nakutana na Felix Mshama ilikuwa ni usiku tukiwa chuoni SAUT
ndani ya Fellowship TAFES, akiwa First year mi hapo ndo 3rd year nkashangaa
huyu dogo mtata kafika Juzi tu chuo leo Fellowship anapiga gitaa!!,
pembeni walikuwepo wapiga vyombo wakongwe
wanapiga jaramba.
Baada ya fellowship nkamfata akaniambia anatokea Dodoma na anachukua degree ya sheria na ni mtoto wa
mchungaji, then tukapiga story mbili tatu nkagundua dogo sio tu GITAA, anaweza
akafanya Medeling(Uanamitindo).Sikusita faster nkamuuliza mtumishi ulishawahi fanya Modelling? akasema Bro
umejuaje!! Ki-Ukweli sijawahi but hiyo ni moja kati ya dream zangu, na tokea
hapo tulipokuwa tukikutana nilimwuita TAFES-MODO.
Man of GOD Felix Mshama |
Baada
ya semister ya kwanza kuisha, TAFES-SAUT ili-organise Evangelism Mission chini
ya MAMBO MAKUYA na hapo tulienda kijiji cha GAMBOSI kwa lengo la kumtangaza
Kristo katika kijiji hicho kinachosifika Afrika Mashariki na Kati kwa imani za
Ushirikina.Huko tulienda wengi zaidi ya wanachuo hamsini.Tukiwa Gambosi time table ilikuwa tight sana na kila mtu
alikuwa ROHONI ile mbaya kwa kuwa tulitaniana kuwa ukicheza utaacha shingo
Kiwiliwili kirudi kumalizia Bachelor Degree.
Nakumbuka
kila siku jioni tulienda kuonyesha Sinema, kwa kuwa nilikuwa mmoja wa ma IT nilitakiwa
kuwahi kuweka mambo sawa, siku moja nlimchukua dogo(FELIX) kisha mdogo mdogo na
Itatiro, Humphrey na Alex tulielekea uwanjani.Tukiwa njiani nlimuuliza MODO(Felix)
ntupie Ma-cult work zaidi Jokate na Magese.Hahaaaa akasema ngoja nikupe Intro
ndipo akaanza kutembea kwa umaridadi as a model kifupi dogo alitisha.
Felix Mshama akiwa na Noel Mlabwa pamoja na Barnabas shija katika video yao mpya iitwayo UMWEMA |
Kikubwa
nachojiuliza kwa Vijana waliookoka kama
FELIX, hizi Talents zao za Modelling na nyingine wanaweza wakazionyesha wapi!!,
na kimsingi ni AJIRA, tukisema wakakae chini ya madesigner kama Ally Remtullah,Khadija
Mwanamboka, au Mustapha Hasanali (Slim Slim), ipo siku wataaambiwa wavae nusu uchi, na
wakirudi kanisani wanaambulia kutengwa.
So youth wafanye nini, wafe na Talent
zao, au wachague nguo za Kuvaa!!! Kitu ambacho kwa ma-designer sio rahisi. Finally
utagundua kuna vitu vingi vimepungua katika jamii ya Kikristo nchini, kwa sasa
Nadhani we need CHRISTIAN MODELLING AGENCIES zitakazofanya Modelling huku ziki-preserve
PURITY in Christianity.
Hapa chini ni moja kati ya kazi ambazo Felix Mshama aliifanya akiwa na wenzie Noel na Barnabas
Video Imefanywa na Kinye-Media
Gitaa limepigwa na Felix
Hapa chini ni moja kati ya kazi ambazo Felix Mshama aliifanya akiwa na wenzie Noel na Barnabas
Video Imefanywa na Kinye-Media
Gitaa limepigwa na Felix
Tisha sana ma bro!
ReplyDelete