Monday, October 22, 2012

Picha yetu Jumatatu hii: Rebeca Malope na Rose Muhando

Pichani anaonekana Malkia wa muziki wa injili barani Africa Rebeca Malope akiwa na Rose Muhando na nyuma yao unaweza muona Dokii(Ummy Wenceslaus).Hii ilikuwa wakati wa Tamasha la Pasaka mwaka huu 2012 mwezi wa nne katika uwanja mkuu wa Taifa

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...