Thursday, October 4, 2012

Cought by Cameras


Hapo ni Sean Combs ama wanamuita Puff Daddy(P.Diddy) akiwa Bishop Thomas Dexter Jakes wakati P.Diddy alipohudhuria Ibada katika kanisa la POTTERS HOUSE linaloongozwa na askofu huyo.Waandishi wengi wa Marekani huwa wanasema hawajui ni nini hasa kinachowafanya wasanii wengi maarufu nchini humo kuwa karibu na TD JAKES.

Pichani ni Nguli wa muziki wa injili nchini David Robert akiwa na mkewe Alice siku ya ndoa yao mwaka 2010.

Mwanamuziki Ephraim Sekeleti kutoka Zambia akiwa na mmoja wa viongozi wa Glorious Celebration mtumishi  Rulea Sanga mjini Dodoma  wakati wa Tamasha la Pasaka mkoani humo.
Pichani ni Praise team ya kanisa la Word Alive lililoko Sinza jijini Dar es Salaam, jumamosi na jumapili hii(6-7/10/2012) team hii pamoja na waimbaji wengine watakuwa wanahudumu katika kongamano la vijana litakalokuwa likianza asubuhi na kumalizika jioni.
Kamati ya Friends on Friday wazee wa FOF waki-show Moja juu wakati wa maandalizi ya FOF Aniversary, Kesho tarehe 5/010/2012 kutafanyika Friends on Friday EXECUTIVE katika Hotel ya Peacok jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...