Thursday, October 25, 2012

Baada ya Kutoa Video ya Umwema, Noel, Felix,na Barnabas sasa waanza kurekodi album ya VideoNoel, Felix,na Barnabas
Vijana watatu kutoka chuo kikuu cha Mt Augustino Felix Mshama, Barnabas Shija, na Noel Dozedozee Mlabwa kuanzia jana wameanza kushoot nyimbo za video album yao ya Kwanza iitwayo U-mwema.Kwa mujibu wa Barnaba, video zote za album hiyo zitafanywa chini ya Producer wao aitwaye Kinye chini ya Kinye Media.

Kitu cha kufurahisha juu ya vijana hawa wamekuja na idea nyingine kabisa tofauti na muziki uliozoeleka nchini.Wao hasa wanatumia zaidi gitaa na kinanda na message inakuwa powerfull.Uwezo wa kila mmoja wao a kukaa mbele ya kamera kwa kujiachia huku wakinyesha uhalisia wa kile wanachokiimba  huleta mvuto pindi uwaangaliapo.All in all lengo ni Kumtukuza Mungu tunaamini Mungu yuko upande wao.Kaa nasi Hosanna Inc for more details kuhusu watumishi hawa

Noel Dozedozee Mlabwa

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...