Monday, October 8, 2012

Kongamano la “Calling to Higher Dimension” lamalizika janaJumapili ya jana katika kanisa la Word Alive Centre lililoko Sinza jijini Dar es salaam, kulimalizika Kongamano la vijana lililokuwa na Theme isemayo "CALLING TO HIGHER DIMENSION".Katika Kongamano hilo mengi yalifundishwa kutoka kwa waalimu watano na hatimaye jana jioni lilihitimishwa kwa Tamasha la kusifu na kuabudu.Pastor Isaac Mallonga alipata nafasi tena siku ya jana kufundisha kwa ufupi kwa habari ya worshiping kisha kusifu na kuabudu kukaendelea.
Bro Damian kutoka Winners Chapel  akihudumu then Mule Mule kwa utukufu wa Mungu.Damian He represented Tanzania in Tasker Project Fame 2012 

Kikosi kazi(Word Alive Praise Team) ikihudumu

Praise leader wa THE DOOR KEEPERS(Tehilla Praise and Worship team) Minister Delicia Robertson akilead

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...