Thursday, October 11, 2012

Cought by Cameras


Hapa ilikuwa ni moja ya Mikutano/seminars ambazo hufanywa na Prophert Eubert Angel wa Zimbabwe.Prophert Angel amekuwa gumzo sana kusini mwa jangwa la sahara kwa umri wake kuwa mdogo huku akitembea na Mungu kwa viwango vya juu.


Hapa ni utamu wa Yesu ikipigwa na kila mtu kwa namna yake alionekana kuguswa na nyimbo hiyo wakiwemo watumishi hawa pichani, hii ilikuwa kwenye tamasha la Pasaka mwaka huu wa 2012 lililoandaliwa na Msama Promotion.


Pichani anaonekana Mchungaji Ayoub Mwakang’ata wa kanisa la Full Victory Christian Centre, akiwa na Emmanuel Mgaya(Masanja) wakati wa mkutano wa nje ulioandaliwa na kanisa lake.Masanja Mkandamizaji alihubiri katika mkutano huo wa nje uliofanyika wilayani Temeke.


Hawa ni New Life Band enzi hizo hapo unaweza ukamuona Mabondo na wengine.Picha hii ilipigwa mwaka 1989.


Pichani ni Apostle Dunstan Haule Maboya akiwa na mkewe Mch Imelda Maboya.Mtume Maboya  ni Mtanzania wa Kwanza kuhudumu madhabahuni akitumia Title(ofisi) ya Mtume.

1 comment:

 1. Hello Ya'll,

  I've included a list of the highest ranking FOREX brokers:
  1. Most Recommended Forex Broker
  2. eToro - $50 min. deposit.

  Here is a list of the best forex instruments:
  1. ForexTrendy - Recommended Odds Software.
  2. EA Builder - Custom Strategies Autotrading.
  3. Fast FX Profit - Secret Forex Strategy.

  I hope you find these lists beneficial.

  ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...