Munguni Roho Nao wamwabuduo imewapasa kumwabudu
katika ROHO na kweli, Jumapili ya Jana katika ukumbi wa GOLD CREST jijini Mwanza,
Mtumishi wa Mungu John Lisu alikuwa akifanya Tamasha la Muzikiwa Injili. KatikaTamasha
hilo lililopewa jina la JEHOVA Yu Hai Tour Lisu aliongozana na Timu ya Wapiga Vyombo
na waimbaji kutoka jijini Dar.
Kwayeyote ambaye alifika katika Tamasha hilo
atakubaliana nasi kuwa kuna namna ambayo MUNGU anaitembelea Tanzania kwa namna ya
Pekee kupitia uimbaji. Safari ya John Lisu katika jiji la Mwanza ilianza kwa Kufanya
Tamasha la Kusifu na Kuabudu katika Chuo cha
Saint Augustine Univ Siku ya Jumamosi ambapo kwa namna ya Pekee wanachuo
walimpokea YESU kama Bwana na Mwokozi wa Maisha Yao, huku John Lisu na watumishi
wengine walifanya Maombezi kwa wanafunzi waliokuwa wakisumbuliwa na maradhi mbalimbali.
Katika Ukumbi Gold Crest Tofauti na ilivyozoeleka
katika matamasha Mengi kwa wakazi wa Mwanza kukaa na Kumshangaa/ kumwangalia Muimbaji
jana ilikuwa Tofauti ambapo kuanzia mwanzo
mpaka mwisho wa Tamasha ilikuwani Two way Traffic Waimbaji waliimba huku
pia Hadhira nayo ilimuadhimisha JEHOVA JIRE
Glory To GOD |
Yesu Umejivika Haakiiii, na Heshima aaahhh John Lisu akimtukuza Mungu jijini Mwanza |
.
Askofu Eugine Mlisa mmiliki wa ALIVE Fm akiwafanyia maombi watu wenye uhitaji mbali mbali |
With keyboard anaitwa Adolph Nzwalla
Kutoka Hosanna Praise Team kushoto ni Bro Manase kutoka Tafes Saut
|
Sehemu ya Team ya wapiga Vyombo wa Lisu
aliofika nao Mwanza kuhudumu
|
Utukufu Kwa Mungu
|
Sehemu ya Umati ukimtukuza Mungu ukumbini
hapo
|
Yu Hai Jehovaaa, Yu Hai Mileeelee…….
|
Ma-back benchers wakipeleka Nderemo Mbele
za Mungu
|
Ulikuwa ni mguso wa kipekee wa Roho Mtakatifu ndani ya ukumbi. Mungu aendelee kumtumia mtumishi wake kwa viwango vikubwa vya unyenyekevu!
ReplyDeleteUtukufu na heshima ni Bwana Yesu pekee!