Saturday, April 2, 2011

Tuzo za Muziki wa Injili nchini Kenya kufanyika 30 April 2011

Wakati tuzo za muziki wa Injili nchini Tanzania zimefanyika mwezi uliopita, nchini Kenya tuzo za muziki wa njili zijulikanazo kama Groove Awards zinatarajiwa kufanyika tar 30 April 2011 katika ukumbi wa Kenya International Comference Centre (KICC). Kuna jumla ya kategories ishirini na tisa(29), miongoni mwa kategories zinazoonekana kuvutia watu kutaka kujua ni nani ataibuka kidedea ni pamoja na

a) Mwanamuziki bora wa kike wa mwaka, 
b) Mwanamuziki bora wa kiume wa Mwaka.
c) Nyimbo bora ya ushirikiano(collabo)
d) Nyimbo bora ya mwaka kwa ujumla
e)Nyimbo bora ya kuabudu ya Mwaka
f) Mwanamuziki bora wa injili toka Tanzania
f) Gospel Tv show of the Year pamoja na  
g)Radio presenter of the year.

Katika hali inayoonyesha changamoto kwa muziki wa Kenya, wanamuziki wanaochipukia wamechaguliwa kuwania nafasi kubwa huku nguli wa muziki huo nchini humo kama Esther Wahome, Solomon Mukubwa, Kambua, Emmy Kgosei, wakiwa nje ya mchakato huo. 

AFLEWO Mwaka jana walipata tuzo ya kundi bora la kuabudu, Tarehe 15 mwezi huu Aflewo watafanya tamasha katika ukumbi wa Diamond jubilee 
 Kategiries za tuzo na waliochaguliwa kuziwania ni kama ifuatavyo

MALE ARTIST OF THE YEAR
1a. Daddy Owen
1b. Jimmy Gait
1c. Juliani
1d. Kevohyout
1e. Man Ingwe
1f. Paul Mwai

Jimmy Gait
2. FEMALE ARTIST OF THE YEAR

2a. Alice Kamande
2b. Anastazia Mukabwa
2c. Betty Bayo
2d. Hellenah Ken
2e. Eunice Njeri
2f. Marion Shako

Marion Shako mwaka jana alipokea tuzo ya wimbo bora wenye mahadhi ya mwambao kupitia wimbo wake wa Jina la Yesu
 5. SONG OF THE YEAR
5a. I live for you – BMF
5b. Kiatu Kivue – Anastacia Mukabwa
5c. Manyunyu – Jimmi Gait and Rufftone
5d. Saluti – Daddy Owen and Friends
5e. Siyabonga – Betty Bayo
 
6. WORSHIP SONG OF THE YEAR
6a. Ananijali – Andy Mburu
6b. I’m in the Race- Paul Mwai
6c. Haujanisahau – Lydia Joy Kaimuri
6d. Munyunyizi Wangu – Sarah K
6e. Nashukuru – Mercylinah
6f. Sitarudi Kuwa Vile – Hellenah Ken

12. COLLABO OF THE YEAR
12a. Avandu Vasunga – Hey Z & Key Z
12b. Hitho – Mr. T & Allan Aaron
12c. Kiatu Kivue – Anastacia Mukabwa Ft. Rose Muhando
12d. Manyunyu – Jimmy Gait Ft. Rufftone
12e. Nifungue – Alemba & Sadic Ft. Kaberere
12f. Saluti – Daddy Owen and Friends

16. GOSPEL TV SHOW OF THE YEAR
16a. Gospel garage – K24
16b. Crossover 101 – NTV
16c. Kubamba – CITIZEN TV
16d. Kuwa tofauti – FAMILY TV
16e. Off the hook – KTN
16f. Rauka – CITIZEN TV

Kambua,licha ya kua ni mwimbaji mahiri wa nyimbo za injili pia ni mtangazaji wa kipindi cha Rauka Tv show, anawania tuzo ya the Best Tv show of the year


26. ARTIST OF THE YEAR (TANZANIA)
26a. Bahati Bukuku
26b. Bonnie Mwaitege
26c. Christina Shusho
26d. Neema Mwaipopo
26e. Rose Muhando
26f. Upendo Nkone

Rose Muhando mwaka jana alifanikiwa kuchukua tuzo ya mwanamuziki bora toka nchini Tanzania

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...