Hatimaye lile Tamasha la Muziki wa Injili linalowahusisha vijana zaidi lililofahamika kama RIOT limefanyika jijini Dar es salaam siku ya jumapili iliyopita wakati uzinduzi rasmi wa RIOT ulifanyika siku ya jumamosii mlimani City ikiwa ni siku moja kabla ya Tamasha lenyewe.
Mratibu wa Tamasha hilo Bro Isack Malonga pamoja na Timu nzima ya Tehilah Ministry walifanya kazi kubwa kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa.Fuatana nasi ujionee kwa kifupi yaliyojiri.
|
Ni Mara chache sana kuona stage kama hizi zikitumika katika muziki wa injili nchini Tanzania |
|
On tha Way From Uganda wanaitwa Soul 5 wakiwakilisha |
|
Joy mwanzo Mwisho |
|
Umati wa watu waliohudhuria RIOT Event pale Mbezi |
|
Kutoka kulia ni Apostle Onesmo Ndegi, Isack Malonga pamoja na Benjamin Dube kutoka Afrika ya Kusini |
|
Pastor Benjamin Dube akimuombea Isaack Malona "Hata Mama Yako hakujua amezaa Zawadi ya Namna gani, Watanzania hamuwezi Jua mnazawadi ya Namna gani, What I know, your Blessings are Connected to This Man Of God Isaac" Hayo ni baadhi ya Maneno ya Pastor Benjamin Dube akiongea kwa ajili ya Isaac. Picha zote kwa mujibu wa Sam Papaa | |
No comments:
Post a Comment