Monday, July 11, 2011

Wakenya wan`gara katika tuzo za Muziki wa Injili barani Afrika


Zile tuzo maalumu za muziki wa injili Barani Afrika(Africa Gospel Music Awards 2011) zimefanyika jumamosi iliyopita katika jiji la Landon nchini  Uingereza.Katika tuzo hizo kwa upande wa Afrika mashariki wanamuziki wa injili nchini humo wamefanya vizuri na kuibuka kidedea.

Wakati Daddy Owen akiibuka kama msanii bora kwa Afrika Mashariki mwanadada Emmy Kosgei ameibuka mshindi wa jumla kwa kwa wanamama(female) barani Afrika. Katika tuzo hizo Tanzania iliwakilishwa na Mwanamama Christina Shusho aliyekuwa akiwania Tuzo ya Mwanamuziki bora wa Afrika Mashariki.
Zifuatazo ni kategori mbalimbali pamoja na washindi.

AFRICA GOSPEL MUSIC AWARDS 2011 WINNERS LIST


Mwanamuziki Uche Agu mzee wa Double Double wa pili kushoto akiwa ameshikilia tuzo yake aliyopewa kama Mwanamuziki bora kusini mwa Afrika. Mwenye tuzo mwingine hapo ni kijana Atta Boaffo raia wa Ghana aishie UK ambaye alipokea tuzo ya mwanamuziki Bora anayechipikia

Winners are in Red

Best Music Video
Kwasa - Gboof

Mercy - Kwesi Oteng

By My Side - Charles Granville
I Need You More - Rebecca Arthur
Agidigba - Tim Godfrey

Saluti - Daddy Owen

The Presence – Joe Praize





Best Gospel Album
Three - No Tribe
Timeless One - Alexander Victor, UK
System ya Kapungala - Daddy Owen, Kenya
Rebecca Malope – Ukuthula, South Africa
Hymnz Unlimited - Nii Okai, Ghana

Awesome God - Aaron T. Aaron, UK

Pulpit Kwa Street - Juliani, Kenya
Racing Up – Paul Mwai, Kenya

Woship In His Presence - Benjamin Dube, South Africa





Event of the Year
Evolution 6 - Impact Project Ministries, Accra, Ghana

Africa Worship - Sonnie Badu, London, UK
Harvest Praise 2011 - Rev Benjamin Dube, Accra, Ghana
The Big Church Day Out - UK

Groove Awards, Kenya

A Night In His Presence - True Worshippers, Virginia, USA

Lagos Experience, Lagos, Nigeria





Sonnie Badru akipokea tuzo ya mwanamuziki bora wa kiume jumamosi jijini London

Overall Best Male Artiste
Daddy Owen - Kenya

Sonnie Badu - UK
Benjamin Dube - South Africa
Joe Praize - Nigeria
Uche Agu - South Africa

Charles Granville - Nigeria

Eben - Nigeria

Fabrice Nzeyimana - Burundi
Aaron T Aaron - UK
Kabelo Eric - Bostwana







Overall Best Female Artiste
Winnie Mashaba - South Africa

Diana Hamilton - UK
Ohemaa Mercy - Ghana

Lara George - Nigeria
Sinach - Nigeria

Emmy Kosgei - Kenya
Rebecca - UK

Toyin Motara - Nigeria

Cecilia Marfo - Ghana





Emmy Kosgei ameibuka mshindi wa jumla kwa kwa wanawake 

Best Gospel Group
Obert Maziviza & Trumpet Echos - UK
Royal Priesthood - Ghana
Tribe Of Judah Choir - USA

No Tribe - Ghana

Tim Godfrey and Xtreme - Nigeria
Allen and Da New Wave - UK

Joyous Celebration - South Africa

Davison Band- UK
K-Stonez - Nigeria



Best Gospel TV Programme
Afrika Rising - OHTV - UK

Praisetek Gospel Show
The Glory Encore Show - Olive TV - UK
Praise Talk Show - Faith TV UK
One Voice - NTV
One Gospel - South Africa

X2D - NigeriaShine On - Channel O - DSTV



Best Gospel Radio Programme
Habari Africa - Premier Gospel Radio - UK

P G Breakfast - Premier Gospel Radio - UK

Gospel Sunday - Milele FM - Kenya
Praize Jamz - Kool FM - Nigeria




Best Gospel DJ/Presenter
Muyiwa Olarewaju - Premier Christian / Gospel Radio UK
DJ Abbey Gee -  UKDJ Gosporella - Nigeria
Fiifi Folson - Sunny FM - Ghana





Best Contribution to Africa Gospel Music
Rebecca Malope – South Africa

Ev David Bruno - PPM Birmingham - UK
Praisetek Gospel Music Awards (PGMA)

BNG Innovates - Nigeria

Lindlani Mkhezi - Joyous Celebration - South Africa
Watoto Children's Choir - Uganda

Premier Gospel Radio - UK
Adom Praize - Adom FM Ghana




Discovery of the Year
Geo Gabriel
Tolumide - USA
Gboof (Kwasa) - Nigeria

Royal Priesthood - Ghana
Cwasi Oteng - Ghana
Atta Boafo's - UK
Motara - Nigeria

Outcry - Kingdom of Swaziland

Emmanuella Bafoah - Moloney - UK




Best Artiste/s (Europe)
Sonnie Badu

Master Don

Papa Richie
Lisa Muraya

Rev Osei Kofi

Rebecca Arthur
Dina Hamilton
Gwendolynn Mukulu Chris

Aaron T Aaron

Muyiwa




Best Artiste/ (USA)
Dee Jones (Elevated)

Kenneth Appiah
Comfort Manyame

K.Stonez

Mictunes

Tolumide
The Tribe of Judah Choir

Albert Collingwoode Williams




Best Artiste (Southern Africa)
Benjamin Dube

Uche Agu
Keke Phopholo
Sfiso Ncwane

Sechaba
Solly Mahlangu
Sipho Makhabane

Winnie Mashaba





Daddy Owen mwenye shati nyekundu ameibuka mwanamuziki bora kwa Afrika mashariki nafasi ambayo pia iliwaniwa na Christina Shusho, hapo Daddy owen pia ni  Mwanamuziki bora wa injili nchini kenya kwa mujibu wa Groove Awards za nchini humo.

Best Artiste (East Africa)
Fabrice Nzeyimana - Burundi
Alice Kamande - Kenya

Exodus - Uganda
Christina Shusho - Tanzania

Blessed Sisters - Rwanda

Gen Manasseh Mathiang - Sudan
Joy Nkundiman

Juliani

Emmy Kosgei
Moses "QQU" Odhiambo
Daddy Owen
Marvellous




Source:Kenyan Gospel

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...