Wednesday, December 7, 2011

Occupy Until I come - Mkesha Maalumu Kuadhimisha Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania


.

Wakati Waliokuwa na Miaka 10 wakati Tanzania inapata Uhuru sasa wana miaka 60, waliokuwa na Miaka 20 sasa wana miaka 70, Kwa sasa Tanzania inatimiza Miaka 50, wewe unamiaka Mingapi? Tukitimiza miaka 100 hakika wewe na mimi tutakuwa wazee hivyo ni kwa Neema ya Mungu tumefika hapa.

There is a shifting Of Generation,hapo baadaye sisi vijana ndo tutakuwa Wazee wa nchi, Unapanda Mbegu gani Tanzania inapotimiza Miaka 50 kwa ajili yako na Kizazi chako?, Usiku wa tarehe 8 kwenda 9 tukutane pale CCT main Campus UDSM katika mkesha huu special kwa ajili ya MIAKA 50 ya Uhuru wa Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...