Monday, February 13, 2012

Picha Yetu Jumatatu hii: Askofu kulola akiwa na Mch Gamanywa

Askofu Dakta Moses Kulola (katikati) katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi na wake zao. Wa kwanza kushoto ni mke wake Bibi Elizabeth Kulola, mke wa Askofu Sylvester Gamanywa Bibi Happiness, Askofu Gamanywa ambaye ni Mwangalizi Mkuu wa WAPO MISSION INTERNATIONAL inayomiliki kituo cha BCIC Temeke, Mchungaji Kiongozi wa kituo hicho Michael Peter, Mchungaji Msaidizi wa kituo hicho BCIC Temeke Benard jomalema na mke wa Mch Peter, Bibi Veronika

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...