Friday, February 3, 2012

Video Making:Uniguse Bwana by Glorious CelebrationKundi la Glorious Celebration la jijini Dar es salaam hivi sasa limefanikiwa kutoa album yake ya kwanza iitwayo Niguse Bwana. Kwa Mujibu wa Kiongozi wa Bendi hiyo Bro Emmanuel Mabisa amesema album hiyo inasambazwa na Msama Promotion.Mnamo mwezi huu wa Pili Glorious Celebration wanatarajia kufika jijini Mwanza kwa ajili ya Kufanya huduma.

Kwa Mujibu wa Mabisa Video ya Nyimbo ya Niguse ambayo ndiyo imebeba Jina la Album ya kundi la Glorious Celebration, imefanyikia sehemu mbalimbali ikiwemo  katika Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es salaam,Kitunda pamoja na katika kanisa la Upanga City Christian Centre lililoko maeneo ya upanga jijini Dar es salaamKundi la Glorious Celebration

Baadhi ya wanakundi wakiwa mbele ya kamera

Kazi ya Kurekodi Ikiendelea

Long Short

Mercy Denis akisubir kuendelea na kazi ya kushoot

One two three Action

Crown Mabisa  akionyesha uhalisia mbele ya kamera
No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...